Sunday 6 December 2015

NGUVU YA AGANO MCHUNGAJI LUCAS HANGO. NGUVU YA KUHARIBU MAAGANO YA MABABU



  Ø Jinsi  ya kufanya  hayo  maombi  tamka kwa sauti  ya juu na kwa mamlaka.
  Ø Ninavunja  na  kujuifungua kutoka kwenye  misingi 
  ya maagano  ya mababu  ya ukoo  kupitia  kuabudu miungu, sanamu  kuchanjwa  chale kafara za kipepo na uaguzi  na ubashiri Bwana Yesu  tumia  damu yako ya thamani kuua  makali  ya madhabahu yote  ya uovu  maishani  mangu  maana imeandikwa taja andiko  hili  kwa imani  na mamlaka Yeremia 14:20 “ Ee bwana  tunakili uovu  wetu  na ubaya  wa baba zebu  maana  tumekutenda dhambi.

Ø Ewe  mkono  unafanya  kazi mbaya ya kuzuia upenyo wangu  ofisini kwenye biashara  elimu na nyumbani  kwang, kwenye  afya yangu pokea  mshale  a moto  wa Mungu  na udhoofike  na vunja  na kuteketeza  kwa moto  kila Agano la kishetani  na mawakala wake
  ambao  wamenikamata kwa hiyo  ninaamuru.

Ø Natamka  kwa mamlaka  kila roho  ya maagano  na malkia  wa bahari  naamuru  ivunjike  kuanzia sasa kwa moto  katika  jina la Yesu.

Ø Kila roho  ya maagano  ya mitishamba ivunjike  kwa jina la Yesu.

Ø Kila  roho  ya maagano na roho ya nyoka  ivunjike  kwa  kwa jina la Yesu.

Ø Kila roho ya  maagano  na roho  ya ibada za kishetani  zinazo  fanyika/ zilizofanyika  zivunjwe  kwa moto  katika  jina la Yesu.

Ø  Kila  r oho  ya maagano na roho  za wanyama  ivunjike  kwa moto  katika jina la Yesu.

Ø Kila  roho ya maagano  na roho za ndege  ivunjike kwa moto katika  jina la Yesu.

Ø Kila  roho  ya maagano  wachungaji/  watumish  wa kishetani  ivunjike  kwa moto  katika jina la Yesu.







Ø Paiti  nataka nifafanue  kwa kifupi  kuhusu  agano la  malkia wa  bahari  fahamu  wazi  kuwa  kuna  malikia  wa baharini  na majini  na wa  nchi  kavu  hivyo  malkia  wa baharini  huwa  anatoa  ada mbalibali  kwa malikia  wanchi kavu  kuja  kuharibu mafanikio ya watu  tumia  andiko hili  Zaburi  29:3 ( Sauti  ya bwana  ijuu ya maji  mungu  wa utukufu alipiga radi juu ya maji mengi. Unaona  andiko hili kwa makini, hivyo  mtangazie  huyo  malkia  wa bahari  kuwa  wewe  silolote  mbele zangu il radi ya  mungu iliyopiga  maji ninaituma kuanzia  sasa  na wafuasi  wako  katika jina la Yesu.

Ø Kumbuka  hili siku zote  unapofanya maombi  haya hakikisha uwe  umevaa  sura ya kazi  yaani ya kivita

Ø Naachia  moto  wa  Mungu uelekee kwenye maagano ya uov, ninaamuru kila uwepo wa mabaki ya maagano ya uovu ulioingia ndani  yangu  kupitia chakula  au kinywaji au  kushiriki  na watumishi  wa kipepo ututiliwe  mbali  kwa damu ya Yesu, maovu yaliyofanywa ka kutumia jina langu ili yawe Baraka  katika jina la Yesu Amen.

MADHABAHU YA UOVU.
Ø Kwa  nguvu ya Mungu  na mamlaka niliyopewa  ninaangusha madhabahu ya uovu inayosababisha kuchelewesha, kuchanganyikiwa, huzuni  na krudi nyuma tumia  andiko hili taja  kwa mamlaka YEREMIA  10:25 Hasira yako uwamwagi mataifa wasiokujua  na jamaa wasiolitii jina lako.

Ø  Nataka  ufanye  kama Eliya  kwa mamlaka  ruhusu  moto wa Mungu ushike  na utekeleze  na  madhabahu zote za uovu haribu kila kifaa cha uovu   na zana  zilizotumika  kuharibu  maisha yangu  katika  jina la Yesu.

Ø Ninafuta kwa Damu ya Yesu  maandishi yote yaiyosababisha matokeo mabaya  kwenye maisha yangu funua na uhusuru sehemu yeyote ya mwili  wangu iliyotumika kutimiza kusudi la madhabahu zao za giza  natamka  kwa mamlaka  huhumu ya kifo kwa wote  wanaotaja jina langu  kwa njia ya uovu kiri andiko hili  Zaburi 3:7 “ Ee bwana unikumbuke  mungu  wangu uniokoe  maana  umewapiga  taya  adui zagu wote umewavunja meno  wasio  haki.





Ø  Roho  mtakatifu  nguza kwa moto  kitu chochote  kinachoniwakilisha  katika  ulimwengu wa  bahari  au  madhamahu  ya adui  nafuta  kila  agizo  lilitolewa  kuoka  kwenye  malango  ya bahari  na  kusababisha  malkia  wa bahari  na  mawakala  wake kunitesa  pokeeni   kombora  la moto  wa Mungu  maana  imeandikwa  “ Zaburi  29:3 Sauti ya bwana  ijuu  ya maji mungu wa utukufu alipiga radi  bana juu ya maji mengi.

Ø Ewe  uliyeteka nyoka  yangu  uliyetumwa  kubadilisha hatima  ya maisha yangu  teketea kwa  moto  umeshidwa  maana  bwana  ameniambia  katika  kitabu  cha  ISAYA  61:6  bali  ninyi  mtaitwa  makuhani wa bana  watu  watawaiteni  wahudumu  wa  mungu wetu  mtakula utajiri wa mataifa na  kulisifia  utukufu wao.

Ø Kwa  hiyo  hakuna  uovu uliotolewa  tamko  kutoka  kwenye madhaba  ya uovu utakaonidhulumu katika jina la Yesu.

Ø Najifunika kwa damu ya yesu nakuingilia  mikutano yote ya kichawi inayokuondoa  jina langu na bomoa madhabahu zao zote  kwa moto war oho  mtakatifu naondoa jina langu  Baraka zangu upenye wangu utukufu wanu ustawi  na furaka yangu itoke  kwenye  madhabahu zao katika jina la Yesu Ameni.

KANUNI ZA KUFANYA MAOMBI HAYA.
Kabla ya kufanya maombi haya  kwanza  fanya doria maeneo yote unayotaka  kuombea kutumia maombi ya rehema  Mika 7:18, Zaburi 103: na Zaburi 51:1 – 10. Baada ya hapo maombi yote yafanyike kwa mamlaka  ni vizuri maombi haya yafanyike usiku kuanzia saa 8 hadi saa 10.

Nakutakia  ukombozi mwema, ukombozi ni gharama




























































No comments:

Post a Comment