Sunday 6 December 2015

Watu wanafunguliwa katika nguvu za giza


NGUVU YA AGANO MCHUNGAJI LUCAS HANGO. NGUVU YA KUHARIBU MAAGANO YA MABABU



  Ø Jinsi  ya kufanya  hayo  maombi  tamka kwa sauti  ya juu na kwa mamlaka.
  Ø Ninavunja  na  kujuifungua kutoka kwenye  misingi 
  ya maagano  ya mababu  ya ukoo  kupitia  kuabudu miungu, sanamu  kuchanjwa  chale kafara za kipepo na uaguzi  na ubashiri Bwana Yesu  tumia  damu yako ya thamani kuua  makali  ya madhabahu yote  ya uovu  maishani  mangu  maana imeandikwa taja andiko  hili  kwa imani  na mamlaka Yeremia 14:20 “ Ee bwana  tunakili uovu  wetu  na ubaya  wa baba zebu  maana  tumekutenda dhambi.

Ø Ewe  mkono  unafanya  kazi mbaya ya kuzuia upenyo wangu  ofisini kwenye biashara  elimu na nyumbani  kwang, kwenye  afya yangu pokea  mshale  a moto  wa Mungu  na udhoofike  na vunja  na kuteketeza  kwa moto  kila Agano la kishetani  na mawakala wake

Ujenzi wa Kanisa unaendelea


Ibada ya asubuhi


Monday 30 November 2015

Thursday 26 November 2015

Mtumishi wa bwana akihubili

Watu wanafunguliwa katika roho chafu sema napokea uzima kwa Jina la Yesu